Jeanne AMISI CIBALONZA : Wamama wengi wanalalamika kwamba baada ya kuenda likizo ya kuzaa wanafukuzwa kazi mara moja

Katika Kivu Kusini... Bi. Jeanne AMISI CIBALONZA ni mkaguzi wa kazi katika jiji na tarafa la Uvira. Kama sehemu ya Mwezi wa Wanawake, anatetea kuheshimiwa kwa haki za wanawake wanaofanya kazi na manufaa yanayohusiana na mkataba wao wa kazi. Yeye ndiye mgeni wetu, anazungumza na Fiston Ngoma. /sites/default/files/2024-03/140324-p-s-inviteuvirajeanneamisicibalonza-00-web.mp3

Jeanne AMISI CIBALONZA : Wamama wengi wanalalamika kwamba baada ya kuenda likizo ya kuzaa wanafukuzwa kazi mara moja
ONLY AVAILABLE IN PAID PLANS